china radio international 冢不二漫画 小山日记

v WHO yasema idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona haitakuwa kubwa barani Afrika kama ilivyokadiriwa

Shirika la Afya Duniani WHO limetabiri kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika haitakuwa kubwa kama ilivyokadiriwa na kilele chake pia kitachelewa kufika katika nchi nyingi za bara hilo kutokana na hatua madhubuti zilizochukuliwa kuzuia kuenea kwa virusi hivyo.


Afrika  Afrika CDC: Wataalamu wa matibabu wa China waisaidia Afrika kupambana na COVID-19 2020-05-15

Mkurugenzi wa kituo hicho Bw. John Nkengasong amesema wataalamu wa matibabu kutoka nchi 32 za Afrika hivi karibuni walifanya kongamano kwa njia ya mtandao wa Internet na wenzao wa China kuhusu namna ya kupambana na virusi vya Corona barani humo, na kujadili matibabu ya wagonjwa wa COVID-19 mjini Wuhan na dawa za jadi za China zikiwa tiba mbadala.

More>>  Idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kuambukizwa COVID-19 barani Afria yakaribia 80,000 05-17 17:59  Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia ili kupambana na kuenea kwa COVID-19
 05-17 17:52  Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda akamatwa nchini Ufaransa
 05-17 17:52More>>
Dunia  WHO yahimiza kulegeza hatua za kukabiliana na COVID-19 taratibu na hatua kwa hatua
 2020-05-12

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus jana kwenye mkutano na waandishi wa habari alisema, hivi sasa nchi nyingi zinalegeza hatua za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19, ili kufufua uchumi, na mchakato huu utakuwa na utatanishi na matatizo mengi. WHO inazitaka nchi hizo zifanye hivyo taratibu na hatua kwa hatua.

More>>  Guterres asema ushirikiano wa kimataifa kwenye teknolojia ya kidijitali ni muhimu katika kutokomeza COVID-19
 05-17 17:53  Ofisa aliyefutwa kazi kutoka Wizara ya afya ya Marekani ashutumu serikali ya nchi hiyo katika kupambana na virusi vya Corona 05-15 20:39  Utafiti waonyesha kuwa zaidi ya asilimia 25 ya watu wa Uingereza wangeambukizwa virusi vya Corona 05-15 20:38More>>
Makala  Marekani yapaswa kuchunguzwa na jamii ya kimataifa kwa maambukizi ya COVID-19

Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni wameendelea kusambaza uvumi kwamba, virusi vya Corona vimetengenezwa na China katika maabara ya mjini Wuhan, na kudai kufanya uchunguzi wa kimataifa kuhusu jambo hilo. Lakini ukweli ni kwamba jamii ya kimataifa ikiwemo vyombo vikuu vya habari vya Marekani inaona kuwa, badala ya China, Marekani inapaswa kuchunguzwa kwa maambukizi ya virusi hivyo.

 Marekani yafanya umwamba katika chanjo dhidi ya COVID-19
 Viongozi wa Marekani wapaswa kuwajibika na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona duniani  Marekani yachukulia mapambano dhidi ya COVID-19 kama ni michezo ya kisiasa
More>>
Wiki hii  Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 9-Mei 15)
1.Shirika la Afya Duniani "Virusi vya Corona vitaendelea kuwepo kama vilivyo virusi vya Ukimwi"
2.MAFURIKO: 237 wafa huku 800,000 wakiachwa bila makao
3.Zaidi ya wabunge 300 duniani waitaka IMF, Benki ya Dunia kufuta madeni ya nchi masikini
4.Wafanyakazi Twitter waruhusiwa kufanyia kazi nyumbani daima
5.Afisa aliyetemewa mate na mtu mwenye Covid-19 afariki
6.Virusi vya Corona: Kituo cha kudhibiti magonjwa cha AU chaitaka Tanzania kutoa takwimu
7.Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwanini Burundi imewatimua maafisa wa WHO?
8.Obama aibuka kuwa mtu muhimu uchaguzi 2020, MarekaniMore>>  Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Juni 9-Juni 15)  Wizara ya Sheria ya China yasema wafungwa 1,300 watachiwa kwa muda katika sikukuu ya Spring  Palestina yatoa onyo kwa hatua za Israel za kukalia makazi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan